KOCHA WA RUVU YAMEMKUTA KWA ‘KUWABWATUKIA’ AZAM TV


KOCHA Msaidizi wa Ruvu Shooting, Renatus Shijja amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. Milioni 2 jumla kwa kosa la kuwatolea maneno yasiyofaa wafanyakazi wa Azam TV.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post