MAGWIJI WA PAN AFRICANS WALIPOKUTANA NYUMBANI KWA BALOZI DAU

MAGWIJI wa klabu bingwa ya zamani Tanzania, Pan Africans ambao ni zao la timu ya watoto wa Yanga chini ya kocha Mromania, Profesa Victor Stanslescu wiki hii wamekutana na kufuturu pamoja nyumbani kwa mchezaji mwenzao, Balozi Dk. Ramadhani Dau, Kigamboni Jijini Dar es Salaam. 


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post