SIMBA SC TAYARI WAPO MBEYA KUIVAA TENA IHEFU KESHO


KIKOSI cha Simba kiliondoka Dar es Salaam jana usiku kwa ndege kwenda Mbeya ambako leo kitaunganisha usafiri wa barabara hadi Mbarali kwa ajili ya mchezo wake ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Ihefu SC kesho Uwanja wa Highland Estate, Mbarali, Mbeya. 


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post