TWIGA STARS YATANDIKWA 4-0 ALGERIA, KESHO WADOGO ZAO


TIMU ya taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imeanza vibaya ziara yake ya Algeria baada ya kuchapwa mabao 4-0 na wenyeji leo Uwanja wa Nelson Mandela mjini Baraki nchini humo.
Timu hizo zitarudiana Jumatano, lakini kesho zitamenyana timu za vijana chini ya umri wa miaka 20 za Algeria na Tanzania. 




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post