OMBI LA FEISAL SALUM KUVUNJA MKATABA NA YANGA LADUNDA TENA TFF


OMBI la kiungo Mzanzibari, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ kuvunja mkataba na klabu ya Yanga kwa mara nyingine limegonga mwamba mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post