AISHI MANULA BAADA YA KUFANYIWA OPERESHENI LEO AFRIKA KUSINI


KIPA namba moja wa Simba, Aishi Salum Manula baada ya kufanyiwa upasuaji wa nyama za paja nchini Afrika Kusini leo tayari kurejea nyumbani kwa mapumziko.
Aishi aliumia kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Aprili 7, mwaka huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post