BENZEMA AJIUNGA NA AL ITTIHAD YA SAUDÍ ARABIA


MSHAMBULIAJI mkongwe wa Kimataifa wa Ufaransa, Karim Benzema ametambulishwa katika klabu yake mpya, Al-Ittihad ya Saudi Arabia baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 258 kama mchezaji huru kufuatia kuachana na Real Madrid ya Hispnania aliyoitumikia tangu mwaka 2009 akitokea Lyon ya kwao.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post