KMKM MABINGWA WA ZANZIBAR MARA TATU MFULULIZO


KMKM wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya PBZ Zanzibar kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuichapa Chipukizi mabao 2-0 jana Uwanja wa Amani, Zanzibar.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post