KOMBE JIPYA WATAKALOPEWA YANGA KUONYESHWA KESHO DAR


BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) kesho inatarajiwa kutambulisha Kombe jipya la ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ambalo watakabidhiwa mabingwa kwa msimu wa pili mfululkzo, Yanga SC na mara 29 jumla.



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post