TWIGA STARS YASONGA MBELE BILA JASHO KUFUZU OLIMPIKI 2024


TIMU ya soka ya taifa ya wanawake Tanzania, “Twiga Stars” imefuzu kucheza Raundi ya Pili ya kufuzu Michezo ya Olimpiki 2024 Paris  baada ya Kongo kujiondoa.
Sasa Twiga Stars iliyo chini ya kocha Bakari Nyundo Shime itacheza na Botswana katika Raundi ya Pili ya kuwania tiketi ya Paris 2024 mwezi Oktoba ikianzia nyumbani. 


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post