VIONGOZI SIMBA SC WAPEWA MAFUNZO YA UONGOZI


UONGOZI wa klabu leo umeendesha mafunzo ya uongozi kwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi yaliyolenga kujenga taasisi bora yenye weledi na kufikia dira yetu ya kuwa moja ya klabu bora barani Afrika.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post