MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akimkabidhi mchezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Simon Msuva zawadi ya fedha taslimu, Sh. Milioni 10 kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wao wa 1-0 dhidi ya NÃger jana Uwanja wa BenjamÃn Mkapa Jijini Dar es Salaam kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Ivory Coast.

Tags:
MTBsports