AZAM FC WAFIKA SALAMA TUNISIA KUANZA KAMBI YA WIKI TATU


KIKOSI cha Azam FC kimefika salama nchini Tunisia tayari kuanza kambi ya wiki tatu katika mji wa Sousse kujiandaa na msimu mpya.
VIDEO: AFISA HABARI WA AZAM, HASHIM IBWE AKIZUNGUMZA


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post