AZAM FC YAKAMILISHA USAJILI YA MKALI KUTOKA RAJA CASABLANCA


KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Gambia, Gibril Sillah, 'The Killer', amekamilisha taratibu za kujiunga na klabu ya Azam baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili akitokea Raja Club Athletic, maarufu kama Raja Casablanca.
Huyo mchezaji wa pili tu mpya kuelekea msimu ujao, baada ya kiungo mwingine mshambuliaji Feisal Salum kutoka Yanga ya nyumbani, Dar es Salaam.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post