FIFA YAMTEUA MWANASHERIA WA YANGA KWA SHUGHULI MUHIMU


SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limemteua Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga, Wakili Simon Patrick kuwa miongoni mwa Wanasheria 20 watakaoshughulikia migogoro ya wachezaji duniani kote kwa kipindi cha miaka mitatu.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post