HABIB KYOMBO NAYE KWENDA KAMBINI SIMBA UTURUKI


MSHAMBULIAJI Habib Haji Kyombo ni miongoni mwa wachezaji wa Simba waliofanyiwa vipimo vya afya tayari kwa safari ya Uturuki kwa kambi ya kujiandaa na msimu mpya.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post