KIKOSI CHA SIMBA KIMETUA MUSCAT WATALALA HADI KESHO


KIKOSI cha kilichoondoka Dar es Salaam leo jioni kimewasili Jijini Muscat nchini Omán ambako wachezaji watalala hadi asubuhi kabla ya kuunganisha ndege kwenda Uturuki watakapoweka kambi ya wiki tatu kujiandaa na msimu mpya.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post