NI YANGA NA AZAM SIMBA NA SINGIDA NGAO YA JAMII TANGA


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa Ratiba ya michuano ya Ngao ya Jamii na mabingwa wa mataji yote nchini, Yanga SC watamenyana na Azam FC Agosti 9 huku Simba SC wakimenyana na Singida Fountain Gate Agosti 10 Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
Mechi ya Fainali itafuatia Agosti 13 Saa 1:00 usiku ikitanguliwa na mchezo wa kusaka mshindi wa tatu Saa 9:00 hapo hapo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post