RAIS SAMIA TAYARI YUPO KUISHUHUDIA YANGA LILONGWE KESHO


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Rais wa Malawi, Dk. Lazarus McCarthy Chakwera wakisalimiana na wachezaji wa timu ya Yanga ambao walikuwepo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu Jijini Lilongwe nchini Malawi leo.
Rais Samia Suluhu Hassan aliyewasili leo Malawi atashuhudia mchezo wa kirafiki kesho baina ya Yanga iliyowasili leo pia dhidi ya wenyeji, Nyasa Big Bullets Uwanja wa Bingo Mutharika mjini humo.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post