SIMBA SC HAOOO SAFARINI UTURUKI KWENDA KUWEKA KAMBI


WACHEZAJI wa Simba SC wakiingia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mchana wa leo kwa safari ya kwenda Uturuki kuweka kambi ya wiki tatu kujiandaa na msimu mpya.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post