SPORT PESA WAIZAWADIA SH MILIONI 50 SINGIDA BIG STARS


KLABU ya Singida Fountain Gate ‘The Big Stars’ imepokea posho ya Shilingi Milioni 50 kutoka kwa Mdhamini wake Mkuu kampuni ya Sport Pesa Tanzania kama zawadi baada ya kumaliza nafasi ya nne kwenye msimu uliopita wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post