YANGA SC YAINGIA MKATABA WA USHIRIKA NA BENKI YA NMB


KLABU ya Yanga imeingia makubaliano ya ushirikiano na Benki ya NMB Tanzania katika kuongeza ufanisi wa Usajili na Masuluhisho ya kifedha kwa Wanachama na Mashabiki wake.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post