76ERS YAMUONGEZA MKATABA WA MIAKA MINNE JOEL EMBIID


TIMU ya Philadelphia 76ers imempa mkataba mpya nyota wake, Joel Embiid kuelekea msimu mpya wa Ligi ya Mpira wa Kikapu Marekani, maarufu kama NBA.
Embiid amesaini mkataba wa miaka minne wenye thamani ya dola za Kimarekani Milioni 196, ambao utamfanya awe mali ya Philadelphia 76ers hadi msimu wa 2026-27.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post