KIKOSI CHA SIMBA SC CHAONDOKA LEO DAR ES SALAAM KWENDA MOROCCO KUWEKA KAMBI YA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA


MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wameondoka mchana wa leo kwenda nchini Morocco kuweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya.
Kikosi cha Simba SC kinatarajiwa kurejea nchini baada ya wiki kwa maandalizi ya mwisho na kitafanya tamasha lake maalum la kila mwaka, Simba Day Agosti 28.







Post a Comment (0)
Previous Post Next Post