AZAM FC YAMTAMBULISHA DK JONAS TIBOROHA KUWA MKURUGENZI WA SOKA PAMOJA NA KUZINDUA KAULIMBIU YAO MSIMU


OFISA Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat', akimtambulisha Dk. Jonas Tiboroha, kuwa Mkurugenzi wa Mpira wa timu hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
Pamoja na kumtambulisha Dk Tiboroha kuwa Mkurugenzi wa Soka, Azam FC imezindua kauli mbiu ya msimu; Kimya Kimya siku mbili baada ya kuzindua nembo mpya.



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post