LEICESTER CITY YAICHAPA MAN CITY 1-0 NA KUBEBA NGAO ENGLAND

Wachezaji wa Leicester City wakifurahia na Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester City, bao peke la penalti la mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Kelechi Iheanacho dakika ya 88 baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Nathan Ake kwenye Nokia na kuaidhibu timu yake ya zamani leo Uwanja wa Wembley Jijini London.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post