MAREKANI YATWAA MEDALI YA DHAHABU MPIRA WA KIKAPU OLIMPIKI

MAREKANI imetwaa Medali ya Dhahabu katika Michezo ya Olimpiki Jijini Tokyo, Japan baada ya kuifunga Ufaransa 87-82, hilo likiwa taji lao la nne mfululizo.
Pongezi kwa Nahodha, Kevin Durant anayetarajiwa kusaini mkataba mpya wa dola za Kimarekani Milioni 198 kuendelea kucheza Brooklyn Nets kwenye NBA kwa kufunga pointi 29 kwenye ushindi huo.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post