MSHAMBULIAJI ATUPELE GREEN AREJESHWA BIASHARA UNITED KUZIBA PENGO LA NYOTA ALIYETIMKIA YANGA SC, YUSSUF ATHUMANI


KATIKA kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao, wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Biashara United ya Mara wamemrejesha mshambuliaji wao, Atuepele Green Jackson kutoka Geita Gold.
Ikumbukwe Biashara imeacha wachezaji 14, mbali ya wale ambao wanaondoka akiwemo Yussuf Athumani aliyejiunga na Yanga.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post