NYOTA WA YANGA SC WALIVYOANZA MAZOEZI LEO MJINI MARRAKECH NCHINI MOROCCO KUJIANDAA NA MSIMU MPYA


MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga SC, Mkongo Fiston Kalala Mayele akiwa mazoezini na timu yake kwenye kambi ya Marrakech nchini Morocco kujiandaa na msimu mpya

Beki mpya wa Yanga SC, Mkongo Djuma Shabani akiwa mazoezini leo Marrakech

Kiungo Mrundi Said Ntibanzokiza akiwa mazoezini leo Morocco

Kipa mpya wa Yanga kutoka Mali, Djigui Diarra akiwa mazoezini leo Marrakech

Wachezaji wa Yanga mazoezini leo Marrakech katika kambi ya kujiandaa na msimu GONGA HAPA KUTAZAMA VIDEO


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post