RASMI YANGA SC YAMREJESHA HERITIER MAKAMBO MISIMU MIWILI TANGU IMUUZE KLABU YA HOROYA YA GUINEA

KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji Mkongo, Heritier Ma Olongi Makambo anayerejea nyumbani baada ya misimu miwili tangu auzwe Horoya AC ya Guinea.
Makambo anakuwa mchezaji wa tatu mpya kutambulishwa kuelekea msimu ujao baada ya washambuliaji wengine wawili, mzawa Rajab Athumani kutoka Biashara United ya Mara na Mkongo, Fiston Kalala Mayele kutoka AS Vita ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasian ya Kongo (DRC). GONGA HAPA KUTAZAMA VIDEO


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post