TFF YAONGEZA IDADI YA WACHEZAJI WA KIGENI HADI 12 KUANZIA MSIMU UJAO LAKINI WANANE TU WATARUHUSIWA KUCHEZA PAMOJA


KAMATI ya Utendaji ya TFF jana imekutana na kufanyia marekebisho kanuni mbalimbali za mashindano yake, ikiwemo juu ya idadi ya wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Kuanzia msimu ujao wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu watakuwa 12 badala ya 10, lakini watakaoruhusiwa kucheza mechi moja ni wanane tu.
GONGA HAPA KUTAZAMA VIDEO


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post