WACHEZAJI NA MAKOCHA WA AZAM FC WAPATIWA CHANJO YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA LEO MUHIMBILI


BEKI Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa akipatiwa chanjo ya ugonjwa wa COVID 19 pamoja na wachezaji wenzake wote, Maafisa wote wa benchi la ufundi na wafanyakazi wa Azam FC, leokwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post