YANGA SC YAMTAMBULISHA RASMI KIUNGO WA KIMATAIFA WA UGANDA, KHALID AUCHO ALIYEKUWA ANACHEZA MISRI


RASMI klabu ya Yanga imemtambulisha kiungo wa kimataifa wa Uganda, Khalid Aucho Khalid Aucho kutoka klabu ya Misr Lel Makkasa SC ya Misri.
Aucho anakuwa mchezaji mpya wa  tano Yanga SC baada ya kipa Mmali, Djigui Diarra kutoka Stade Malien ya kwao na washambuliaji Wakongo, Fiston Mayele kutoka AS Vita ya kwao, Kinshasa na Heritier Makambo kutoka Horoya ya Guinea na mzawa Yussuf Athumani kutoka Biashara United ya Mara.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post