HomeMTBsports SAKHO MCHEZAJI BORA WA JANUARI SIMBA SC byMtibwaCity -February 09, 2022 0 KIUNGO mshambuliaji Msenegal, Pape Ousmane Sakho ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba SC mwezi Januari 2022 na kukabidhiwa kitta cha Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya Emirate Aluminium Tags: MTBsports Facebook Twitter