MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Aisha Khamis Masaka ‘Aisha Magoal’ (18), akiwa mazoezini na timu yake mpya, BK Hacken Jijini Gothenburg, Sweden baada ya kutambulishwa kufuatia kujiunga nayo akitokea Yanga Princess ya nyumbani, Dar es Salaam.