KLABU ZAADHIBIWA KWA MAKOSA TOFAUTI KATIKA LIGI



 

KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imetoa adhabu kwa klabu mbalimbali za Ligi Kuu kwa makosa tofauti.





Post a Comment (0)
Previous Post Next Post