‘LUNYAMILA’ MCHEZAJI BORA LIGI YA WANAWAKE MOROCCO


MWANASOKA Mtanzania, Enekia Kasonga ‘Lunyamila’ ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Morocco msimu wa 2021/2022, pichani Enekia (kulia) akiwa na mchezaji mwenzake wa Tanzania Diana Msewa.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post