Ni muda wa kuvimba na @AzamPesa, huduma mpya ya kifedha nchini Tanzania.
Weka, tuma, pokea na toa pesa, fanya malipo ya bidhaa & bili.
Wahi kujisajili kwa wakala wetu ukiwa na vitu vitatu tu;
1. Simu📱
2. NIDA 💳
3. Dole gumba 👍🏾
@azampesa @azampesa @azampesa
#AzamPesa #HudumazaKifalme #BeizaKizawa