SIMBA YATUA BENIN KUIVAA ASEC


KIKOSI cha Simba kimewasili salama mjini Cotonou, Benin kuelekea mchezo wake wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, wahamiaji ASEC Mimosas Jumapili.
Na baada tu ya kuwasili, Simba imeanza mazoezi mara moja mjini humo.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post