TFF YAANZA KUTOA LESENI ZA KLABU MWAKA MPYA


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) jana limeanza rasmi kutoa fomu za maombi ya leseni za klabu kwa mwaka 2022-2023 na tarehe ya mwisho ya kuchukua ni Aprili 23, mwaka huu.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post