AZAM FC YAICHAPA JKU 2-0 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI


WENYEJI, Azam FC jana wamepata ushindi wa 2-0 dhidi ya JKU ya Zanzibar mabao ya Mkongo Idris Mbombo na mzawa, Yahya Zayid katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post