CHAMA ANAONGOZA KWA MABAO LIGI YA MABINGWA


KIUNGO Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama anaongoza kwa 
ufungaji wa mabao kuelekea mechi za mwisho za hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika wikiendi hii.
Chama hadi sasa amefunga mabao manne sawa na Glody Makabi Lilepo wa Al Hilal ya Sudan na wote wana pasi mbili za mabao kila mmoja.

Player

Team

G

P

1st

 Simba

4

1

2

 HilalOmdurman

4

1

2

 Ahly

3

0

1

 Raja

3

0

3

 Mamelodi

3

0

1

 Mamelodi

3

0

2

 Simba

2

0

0

 Tunis

2

0

2

 Raja

2

0

1

 Merreikh

2

2

2

 Simba

2

0

0

 Ahly

2

0

2

 Mamelodi

2

0

1

 Horoya

2

0

2

 Raja

2

0

1




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post