NEW GENERATION MABINGWA LIGI YA WANAWAKE ZANZIBAR


KATIBU wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Chama cha Mapinduzi CCM, Khadija Salum Ali akiwakabidhi kombe Mabingwa wa Ligi ya Wanawake Zanzibar, klabu ya New Generation katika mchezo maalum uliyomalizika kwa kupata ushindi wa bao 5-0 dhidi ya UMZ jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar.


Hapa Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Khadija Salum Ali akimkabidhi Tuzo yake Mchezaji Bora wa Mechi hiyo, Warda Abdulhakim wa New Generation.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post