BEKI MMALI WA YANGA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI


BEKI mpya wa Yanga, Mamadou Doumbia aliyesajiliwa Januari amefiwa na baba yake nchini Mali jana wakati timu ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani Jumapili.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post