BILIONEA MO DEWJI AKUTANA NA WACHEZAJI SIMBA


RAIS wa Heshima wa klabu ya Simba, Mohamed ‘Mo Dewji’ leo amekutana na kuwatia motisha wachezaji kuelekea mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya mabingwa watetezi, Wydad Casablanca kesho Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
GONGA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post