KAMATI YA BUNGE YAZURU KITUO CHA TFF KIGAMBONI


NAIBU Waziri Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ akimsikiliza kwa makini Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo ilipotembelea mradi wa Kituo cha Ufundi cha TFF kilichopo Kigamboni, Dar es Salaam.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post