KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA WYDAD SH 5,000


KIINGILIO cha chini katika mechi ya kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Simba na mabingwa watetezi, Wydad Casablanca Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kitakuwa ni Sh. 5,000.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post