KIINGILIO NAFUU SIMBA NA YANGA JUMAPILI NI SH 5,000


KIINGILIO cha chini katika mchezo Ligi Kuu ya Tanzania Bara wa watani wa jadi, Simba na Yanga Jumapili ijayo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kitakuwa Sh. 5,000.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post