MAN UNITED YAICHAPA BRENTFORD 1-0, YAREJEA ‘TOP FOUR’


BAO pekee la Marcus Rashford dakika ya 27 jana limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya Brentford FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.
Kwa ushindi huo, Manchester United inafikisha pointi 53 katika mchezo wa 28 na kusogea Tena nafasi ya nne, wakati Brentford wanabaki na pointi zao 43 za mechi 29 nafasi ya tisa.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post