SHIME AITA WACHEZAJI 20 KUUNDA TIMU YA MABINTI U20


KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Wanawake, Bakari Nyundo Shime ameita mabinti 20 kuunda kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Tanzaniate kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Algeria.


Post a Comment (0)
Previous Post Next Post